1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Schengen

Eneo hilo linajumuisha mataifa 26 ya Ulaya yalioamua kuondoa ukaguzi kwenye mipaka yake ya ndani kuanzia mwaka 1995. Linafanana na taifa moja katika muktadha wa kusafiri, likiwa na ukaguzi wa mipaka ya nje na viza moja.

Kanda ya Schengen kwa sasa inajumlisha eneo hususani la magharibi na kusini mwa Ulaya lenye wakaazi zaidi ya milioni 400. Mkataba wa mwanzo wa Schengen ulisainiwa na Ujerumani, Ufaransa, Ubelgiji, Uholanzi na Luxembourg.

Onesha makala zaidi