1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Umoja wa Ulaya - EU

Umoja wa Ulaya ni muungano wa kisiasa na kiuchimi kati ya mataifa 28 yaliyoko hasa katika bara la Ulaya. Jumuiya hiyo ina wakaazi wanaokadiriwa kuwa zaidi ya milioni 508.

Umoja wa Ulaya unaendesha shughuli zake kupitia mfumo wa taasisi zilizo juu ya mataifa na maamuzi yanayofikwia baina ya serikali za mataifa wanachama. Taasisi hizi ni: Bunge la Ulaya, Baraza la Ulaya, Baraza la Umoja wa Ulaya, Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya, Mahakama ya Haki ya Umoja wa Ulaya, Benki Kuu ya Ulaya na Mahakama ya Ukaguzi. Bunge la Ulaya linachaguliwa kila baada ya miaka mitano na raia wa Ulaya.

Onesha makala zaidi