1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Taliban

Ni vuguvugu la wazalendo wa Afghanistan wenye msimamo mkali, lililoanzia katika nchi jirani ya Pakistani.

Taliban, neno linalomaanisha wanafunzi, walikuwa madarakani nchini Afghanistan kuanzia 1996 hadi 2001, na walikuwa wanatawala kwa kutumia sheria za Kiislamu – Shariah. Tangu uvamizi wa Marekani mwaka 2001 na kuangushwa kwa utawala wao, kundi hilo lililogeuka kuwa waasi limeanza tena kuchomoza.

Onesha makala zaidi