1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hamas

Hamas ni kundi lenye makaazi yake Ukanda wa Gaza. Ni kundi lenye tawi la kisiasa pamoja na tawi la kijeshi, yote mawili yakiwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Palestina.

Ni kundi liloanzishwa mwaka 1987, kwa lengo la kupambana na Shirika la Ukombozi la Palestina (PLO). Kundi la Hamas limekuwa likitajwa kama kundi la kigaidi kutokana na kwamba tawi lake la kijeshi mara kwa mara linaishambulia Israel na raia wake.

Onesha makala zaidi