1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

NASA - Shirika la usafiri wa anga la Marekani

Shirika la usafiri wa anga NASA ni idara huru ya mhimili wa utawala wa serikali kuu ya Marekani linalohusika na programu ya kiraia ya usafiri wa anga, na vile vile elimu ya usafiri wa anga utafiti.

Rais Dwight E Eisenhower alianzisha shirika la NASA mwaka 1958 kwa malengo ya kiraia hasa (badala ya kijeshi), kuhamasisha matumiui ya amani ya sayansi ya anga. Sheria ya taifa ya elimu na usafiri wa anga ilipitishwa Julai 29, 1958, na kuondoa mtangulizi wa NASA - Kamati ya Ushairi wa Kitaifa kuhusu elimu ya usafiri wa Anga (NACA). Wakala huo mpya ulianza kazi zake rasmi Okotoba 1, 1958.