1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mpira wa kikapu

Mpira wa kikapu ni mchezo maarufu Ujerumani, baada ya mpira wa miguu. Hata hivyo, Ujerumani haina mafanikio makubwa ya mchezo huu katika ngazi ya juu.

Timu ya taifa ya Ujerumani iliwahi mara moja tu kushinda katika michuano ya Ulaya ya 1993. Wachezaji maarufu wa timu ya taifa ya Ujerumani ni Dirk Nowitzki na Dennis Schröder.