1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mayahudi

Wayahudi ni kundi la kikabila na kidini linalotokana na Waisrael, au Waebrania, katika kanda ya Mashariki ya Kati wakati wa milenia ya pili kabla ya kuzaliwa Kristo, katika eneo la Sham linalojulikana sasa kama Israel.

Wayahudi wanaweza kuwa watu waliozaliwa kwa familia ya Kiyahudi, bila kujali iwapo wanaifuata dini ya Kiyahudi au la, au watu wasiokuwa na asili ya Kiyahudi lakini walioingia katika dini ya Kiyahudi. Idadi ya Wayahudi duniani ilifikia kilele cha watu milioni 16.7 kabla ya vita kuu vya pili vya dunia, lakini takribani Mayahudi milioni 6 waliuawa wakati wa mauaji ya Holocaust yaliofanywa na Manazi wa Ujerumani. Katika ukurasa huu utakuta maudhui za DW kuhusu Wayahudi.

Onesha makala zaidi