1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Moto wa nyika

Moto wa nyika ni moto usiopangwa, usiotakiwa na usiodhibitiwa katika eneo la uoto wenye mwako kuanzia kwenye maeneo ya vijijini na mijini.

Kutegemea na aina ya uoto uliopo, moto wa nyika unaweza kuanishwa pia kama wa mwituni. Moto huo unaweza kuanishwa katika muktadha wa chanzo cha kisababishi, vitu vinavyoweza kuwaka na athari za hali ya hewa kwenye moto huo. Moto wa mwituni unaweza kusababisha uharibifu wa mali na maisha ya binadamu, ingawa moto unaotokea kiasili unaweza kuwa pia na athari za manufaa kwa mimea asili, wanyama, na mifumo ya ikolojia ambayo imebadilika na moto. Katika ukurasa huu utapata mkusanyiko wa maudhi za DW kuhusu moto wa nyika au moto wa mwituni.

Onesha makala zaidi