1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Gaza

Ukanda wa Gaza ni eneo la pwani la Palestina linalokumbwa na migogoro ya mara kwa mara kati ya vuguvugu linalotawala la Hamas na jeshi la Israel. Gaza inaitegemea Israel kwa huduma za umeme, maji na mawasiliano.

Ukanda wa Gaza ni nyumbani kwa watu milioni 1.85, wanaoishi kwenye ardhi yenye ukubwa wa kilomita za mraba 365. Ukanda wa Gaza umekuwa chini ya uongozi wa vuguvugu la Hamas tangu mwaka 2006, na limeshuhudia mapigano mara kadhaa kati ya watawala wake na vikosi vya jeshi la Israel. Uchumi wake ni dhaifu sana kutokana na mzingiro wa wa miakakadhaa wa Israel. Katika ukurasa huu utapata maudhui za karibuni za DW kuhusu Gaza.

Onesha makala zaidi