Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mkataba wa Lisbon

Mkataba wa Lisbon ulisainiwa na mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya mwaka 2007 na kuunda msingi wa kikatiba wa Umoja wa Ulaya (EU). Unarekebisha mikataba ya zamani kwa lengo la kuboresha mshikamano ndani ya kanda hiyo.

Wakosoaji wanasema Mkataba wa Lisbon unaupa nguvu zaidi Umoja wa Ulaya na kudhoofisha demokrasia kwa kuondoa madaraka kutoka kwa wapigakura. Kipengele cha 50 cha Mkataba wa Lisbon kinaainisha mchakato ambao taifa linaweza kuufuata kujiondoa katika Umoja wa Ulaya. Kipengele hicho kimejadiliwa kwa kina tangu Uingereza ilipoitisha kura ya kuamua mustakabali wake ndani ya EU - Brexit mwaka 2016. Hapa utapata mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusiana na Mkataba wa Lisbon.

Onesha makala zaidi