1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afghanistan

Afghanistan ni moja ya nchi masikini kabisa duniani, ikiwa imeharibiwa kwa vita vya miongo kadhaa ambavyo vimechochea kuibuka kwa vuguvugu la siasa kali za Kiislamu, Taliban.

Licha ya kuondoshwa madarakani kwa Taliban baada ya uvamizi ulioongozwa na Marekani mwaka 2001, hali ya usalama bado ni tete kwani wanamgambo hao wanaofuata siasa kali wanaendelea kufanya mashambulizi ya mara kwa mara.

Onesha makala zaidi