VATICAN.Baba mtakatifu Benedict wa 16 atazuru Uturuki Novemba 28 | Habari za Ulimwengu | DW | 16.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

VATICAN.Baba mtakatifu Benedict wa 16 atazuru Uturuki Novemba 28

Vatican imesema, baba mtakatifu Benedickt wa 16 atafanya ziara nchini Uturuki mwishoni mwa mwezi novemba.

Papa Benedickt wa 16 ataanza ziara yake tarehe 28 novemba kwa kuitemebelea miji ya Ankara,Istanbul, Ephesus na Izmir sehemu iliyokaliwa na jamii ya kale ya kikristo.

Waziri wa mambo ya nje wa Vatican kadinali Tarcisio Bertone amesema ziara ya baba mtakatifu itatoa fursa ya mdahalo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com