1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Istanbul

Istanbul ni mji uliyoko nchini Uturuki, ambayo unaiunganisha Ulaya na Asia kupitia mlango bahari wa Bosphorous.

Mji huo mkongwe unaakisi ushawishi wa tamaduni wa himaya mbalimbali zilizowahi kutawala huko. Katika wilaya ya Sultanahmet, kiwanja cha wazi cha enzi za utawala wa Kirumi ndiyo kilikuwa mahala pa mashindano ya magari ya kukokotwa kwa karne kadhaa, na minara mirefu ya Kimisri bado inaendelea kuwepo.Hagia la Sophia la enzi za utawala wa Byzantine bado lenye paa la kuba na nakshi nakshi za Kikristo.

Onesha makala zaidi