1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Ulaya waanisha kujibu vikali vitisho vya Trump

21 Januari 2026

Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen, ametahadharisha kuwa umoja huo uko tayari kuchukua hatua iwapo rais wa Marekani ataendeleza mzozo uliopo kuhusu Greenland na ushuru wa bidhaa. Je, uthabiti wa Ulaya utatosha kubadili msimamo wa Washington?

https://p.dw.com/p/57CTH