1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Dalai Lama

Dalai Lama ni mtawa wa shule ya “Gelug” au kofia ya njano, ya madhehebu ya Budha ya Tibet, yalioanzishwa na Je Tsongkhapa.

Dalai Lama wa 14 ambaye ndiye kiongozi wa sasa madhehebu hayo ni Tenzin Gyatso, anaeishi uhamishoni nchini India. Ukurasa huu unakukusanyia madhaui za karibuni za DW kuhusu Dalai Lama.

Onesha makala zaidi