1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Grönland Nuuk 2025 | Tourist betrachtet die Statue von Hans Egede
Picha: Odd Andersen/AFP

Greenland

Kisiwa hiki kikubwa zaidi duniani ni eneo linalojitawala la Denmark, lenye madini mengi. Uwepo wake karibu na ncha ya Aktiki, unaifanya Greenland kuwa miongoni wa waathirika wakubwa wa mabadiliko ya tabianchi.