1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kamisheni ya Ulaya

Halmashauri kuu au Kamisheni ya Ulaya ndiyo chombo cha utendaji cha Umoja wa Ulaya. Rais wake wa sasa ni Jean-Claud Juncker, mwanasiasa wa mrengo wa wastani wa kulia, zamani waziri mkuu wa Luxembourg.

Kamisheni hiyo yenye wajumbe 28 ina jukumu la kupendekeza sheria, kutekeleza maamuzi, na uendeshaji wa shughuli za kila siku za Umoja wa Ulaya. Kuna Kamishna moja kwa kila nchi mwanachama, na wawaniaji wa nafasi lazima waidhinishwe na bunge la Ulaya. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za karibuni za DW kuhusu Kamisheni ya Ulaya

Onesha makala zaidi