1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Brexit

Muunganiko wa maneno "Britain" na exit unamaanisha mchakato wa Uingereza kujiondoa katika jumuiya ya Umoja wa Ulaya

Kura ya maoni kuhusu uanachama wa Uingereza katika Umoja wa Ulalya (EU) ilifanyika Juni 23, 2016 ambapo Waingereza wengi waliamua kuiondoa nchi yao katika jumuiya hiyo. Bunge la Uingereza limeipa serikali mamlaka ya kuanzisha mchakato huo kwa kuzindua kifungu cha 50 cha Mkataba wa Lisbon wa Umoja wa Ulaya. Katika ukurasa huu utapata mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu mada ya Brexit.

Onesha makala zaidi