You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Afrika, Asia wanyimwa Visa mkutano wa wakunga EU
Wataalamu wazuiwa visa mkutano wa wakunga Ureno, juhudi za kupunguza vifo zatikiswa.
Waziri wa ulinzi wa Uingereza John Healey ajiuzulu
Healey amesema mpango wa serikali wa uwekezaji katika ulinzi "uko mbali sana na kiwango kinachohitajika."
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza ajiuzulu ghafla
Alilaumu pia Wizara ya Fedha kwa kutotenga rasilimali za kutosha kwa ajili ya mahitaji ya ulinzi wa taifa.
Shambulio la kisu laibua vurugu dhidi ya wahamiaji Belfast
Nyumba, magari na mabasi yalichomwa moto huku viongozi wa kisiasa wakilaani mashambulizi dhidi ya wahamiaji.
Shambulio la kisu lazusha vurugu Ireland Kaskazini
Waandamanaji wanaopinga wahamiaji wamechoma moto majengo na magari kwenye mji mkuu wa Ireland Kaskazini, Belfast.
Viongozi wa Ulaya waunga mkono mazungumzo ya Ukraine, Urusi
Zelensky alimuandikia barua Putin akipendekeza mkutano wa ana kwa ana lakini Rais huyo wa Urusi alikataa wazo hilo.
Viongozi wa Ulaya wakutana London kujadili Ukraine
Viongozi hao wanatafuta njia za kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi na kuimarisha uungaji mkono kwa Ukraine.
Armenia yachagua kati ya Urusi na Umoja wa Ulaya
Wapiga kura wanachagua kati ya Waziri Mkuu Nikol Pashyan anaejikurubisha EU, na wapinzani wanaotaka kuwa karibu na Urusi
Merz na Macron wahimiza Umoja wa Ulaya kuongeza wanachama
Merz na Macron wahimiza Umoja wa Ulaya kuharakisha mchakato wa kuongeza wanachama.
Merz na Macron wataka EU itanuliwe kwa haraka
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wale wa nchi za kanda ya Balkan wanakutana Montenegro Ijumaa.
Viongozi wa EU na kanda ya Balkan wanakutana Montenegro
Viongozi wa EU na kanda ya Balkan wanakutana Montenegro.
Rwanda yapoteza madai ya pauni milioni 100 dhidi ya UK
Msemaji wa serikali ya UK amesema mahakama imeipa nchi hiyo ushindi katika madai yote baada ya kuitetea vikali hoja yake
Uingereza yashinda kesi ya kisheria dhidi ya Rwanda
Mahakama ya mjini The Hague uholanzi, yatupilia mbali mdai ya Rwanda ya kudai kulipwa na Uingereza
'Vibe' la mashabiki wa Arsenal baada ya kutangaziwa ubingwa
Tazama vibe la mashabiki wa Arsenal nje ya Emirates Stadium, London.
EU iko tayari kuachia yuro bilioni 16 kwa Hungary
Von der Leyen amesema hatua za hivi karibuni zinaonyesha kuwa Hungary inaanza kurejea kwenye maadili na viwango vya EU.
EU yasema haitakuwa mpatanishi kati ya Ukraine na Urusi
EU imesema inatetea maslahi yake ya msingi ya usalama kwa hivyo haiwezi kufanya maamuzi yasioegemea upande wowote
Uingereza na Poland kusaini makubaliano ya usalama na ulinzi
Uingereza tayari imeingia makubaliano ya kiuslama na Ufaransa na Ujerumani.
Zelensky: Sio haki kwa Ukraine kuwa mshirika tu wa EU
Zelensky asema hadhi ya Ukraine ya mshirika wa Umoja wa Ulaya sio haki kwasababu itaiacha bila sauti ndani ya EU.
EU yaonya kupanda kwa bei ya mafuta na gesi hadi 2027
Mfumuko wa bei katika sekta ya nishati utaendelea kuathiri pia sekta nyingine za uchumi.
Hofu inazidi Kongo kutokana na kuenea kwa Ebola
Hofu inazidi kuongezeka katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kutokana na kuenea kwa ugonjwa wa Ebola.
Uingereza kutoa kitita cha dola mil. 27 kudhibiti Ebola
Ulimwengu umeanza kujizatiti kukabiliana na Ebola iliyoathiri zaidi mataifa ya Kongo na Uganda.
Arsenal yatangaza gwaride la ubingwa ya kusubiri miaka 22
Mabingwa wa Premier League Arsenal wanapaga gwaride la ushindi siku ya Jumapili, baada ya miaka 22 ya kusubiri.
Pep Guardiola kuondoka Manchester City
Guardiola anaondoka City baada ya kushinda mataji sita ya Ligi Kuu ya Uingereza na Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
Uingereza: Jinsi Starmer anavyonusurika Farage akisubiri
Kujiuzulu kwa viongozi wakuu, waziri mkuu aliye kwenye presha na chama cha populisti kinachozidi kuimarika.
IAEA: Mashambulizi yanahatarisha mitambo ya nyuklia Ukraine
Idadi ya vifo kufuatia msusuru wa mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine imeongezeka na kufikia watu zaidi ya 20.
BRICS wajadili mustakabali wa nishati na uchumi
BRICS wakutana New Delhi huku migogoro ya kimataifa ikitikisa mustakabali wa nishati na uchumi.
Mfalme Charles afungua bunge / Starmer aandamwa kisiasa
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kisiasa unaotishia mustakabali wake madarakani.
Starmer aapa kuendeleza ajenda ya mageuzi
Uingereza imekuwa ikipitia kwenye misukosuko ya kisiasa kwa muda mrefu tangu baada ya Brexit
EU yataka maelezo baada ya boti ya Ujerumani kushambuliwa
Umoja wa Ulaya unataka maelezo kutoka kwa Libya baada ya shirika moja la Ujerumani kusema boti yake imeshambuliwa.
Waziri wa tatu ajiuzulu Uingereza kupinga uongozi wa Starmer
Baadhi ya wabunge wa Labour wanamtaka Starmer ajiuzulu wakisema ameshindwa kuonyesha mwelekeo thabiti wa kisera.
Starmer apuuza shinikizo asema hana mpango wa kujiuzulu
Starmer amewataka mawaziri wake kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa ajili ya taifa.
Shinikizo lazidi kwa Starmer kujiuzulu
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amekabiliwa na shinikizo zaidi baada ya wasaidizi 4 wa mawaziri kujiuzulu.
Keir Starmer akabiliwa na miito inayomtaka ajiuzulu
Waziri Mkuu wa Uingereza amesema kwenye mkutano ujao wa Umoja wa Ulaya atatangaza mwelekeo mpya wa Uingereza.
Uingereza kutuma meli ya kivita Mashariki ya Kati
Uingereza asema uwepo wa meli yake Hormuz kutaimarisha imani ya safari za meli za kibiashara .
Chama cha Labour Uingereza chaandikisha matokeo mabaya
Starmer amesisitiza hataondoka na kuitumbukiza Uingereza katika mparaganyiko.
Je, muungano wa Uingereza upo hatarini kuvunjika?
Uingereza inapiga kura siku ya Alhamisi, vyama vya Scotland, Wales na Sinn Féin vikitarajiwa kupata mafanikio makubwa.
Armenia yaanza safari ya kujiunga na Umoja wa Ulaya
Waziri Mkuu Nikol Pashinyan amesema Armenia itafurahi endapo itakubaliwa kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya.
Starmer ataka viongozi kuikabili chuki dhidi ya Wayahudi
Mkutano huo unafuatia mashambulizi ya kuchomwa kisu wanaume wawili Wayahudi.
Zelensky : Ukraine na EU zakubaliana kuhusu mpango wa droni
Vita vya Ukraine ni sehemu ya ajenda za mkutano huo wa Yerevan.
Marekani kuondoa wanajeshi wake kutoka Ujerumani
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani amesema hatua ya Marekani sio jambo jipya kwani alitarajiwa
Israel: Uingereza idhibiti chuki dhidi ya Wayahudi
Uingereza inakabiliwa na visa kadhaa vya chuki dhidi ya Wayahudi kufuatia mashambulizi dhidi yao.
Mfalme Charles III ahimiza ushirikiano na Marekani
Charles III ni mfalme wa pili wa Uingereza kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Marekani.
Mfalme Charles atoa wito wa kuimarisha ushirikiano Ulaya
Mfalme Charles aligusia katika hotuba masuala ambayo yamekuwa kiini cha mijadala ya kisera kati ya Marekani na Ulaya.
Mfalme Charles atoa wito wa kuimarisha ushirikiano Ulaya
Charles amesisitiza Uingereza na Marekani zimekuwa na uhusiano wa muda mrefu unaojengwa juu ya misingi ya demokrasia.
Mfalme Charles ajiandaa kulihutubia bunge la Marekani
Hotuba ya mfalme Charles inatarajiwa kuguasia masuala kadhaa ikiwemo vita vya mashariki ya Kati na hatma ya NATO
Papa Leo XIV akutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana
Askofu Sarah Mullally ni mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi ya kasisi mkuu wa Kanisa la Uingereza la Anglikana.
Wadephul kuhutubia UN huku vita vya Iran vikiendelea
Wadephul atahudhuria pia mkutano wa mapitio ya makubaliano ya mkataba wa kuzuwia kusambaa kwa silaha za nyuklia.
Zelensky aelezea matumaini ya Ukraine kujiunga na EU
EU ilianzisha mwaka wa 2024 mazungumzo ya Ukraine kujiunga na umoja huo, lakini Hungary imekuwa ikipinga mchakato huo.
EU yaidhinisha rasmi mkopo wa euro bilioni 90 kwa Ukraine
WU yameidhinisha rasmi fungu kubwa la mkopo kwa wa kuisaidia Ukraine kiuchumi na kijeshi.
EU kuipa Afrika msaada wa euro milioni 275
EU imeahidi euro milioni 275 za msaada wa kiutu kwa watu wanaoishi katika maeneo ya Afrika yenye migogoro.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 55
Ukurasa unaofuatia