1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

China

Ikiwa na wakaazi bilioni 1.3, Jamhuri ya Watu wa China ndiyo nchi yenye raia wengi zaidi duniani. Ndiyo nchi inayoshika nafasi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani.

China ni moja wa washirika wa juu wa kiuchumi wa Ujerumani. China ni nchi inayoongozwa kwa mfumo wa chama kimoja na chama cha Kikomunisti ndiyo kinachotawala.

Onesha makala zaidi