1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Donald Trump

Donald Trump ni mfanyabiashara, mwanasiasa, mtu mashuhuri katika TV, mwandishi wa vitabu na mgombea mtarajiwa wa chama cha Republican nchini Marekani.

Trump ambaye ni mtu wa nje katika siasa za Marekani alifanikiwa kuwashinda wanasiasa mashuhuri wa chama cha Republican na kuwatoa nje ya kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu wa 2016, licha ya kampeni kali kumzuwia. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui ya DW kuhusu Trump.

Onesha makala zaidi