1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi wa Bunge la Ulaya 2019

Wapigakura katika mataifa 28 wanachama wa Umoja wa Ulaya watakwenda vituoni mwezi Mei mwaka huu kuchagua bunge jipya. Linagawana madaraka ya kutunga sheria na halmashauri kuu na lina maamuzi yenye mipaka kuhusu bajeti.

Bunge la Ulaya au EP kama linavyojulikana halina mamlaka rasmi ya kutunga sheria na mara nyingi hukosolewa kwa kutokuwa na mamlaka halisi kwa vile linaweza kukubali au kuikataa halmashauri kuu kwa ujumla wake. Bunge hilo limechaguliwa tangu 1979, lakini muitikio wa wapigakura umekuwa ukipungua katika mataifa yote 28 wanachama. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW zinazohusiana na uchaguzi wa bunge la Ulaya kwa mwaka wa 2019.

Onesha makala zaidi