1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

EPA

EPA ni makubaliano yanayolenga kuunda eneo la biashara huru kati ya Umoja wa Ulaya na mataifa ya Afrika, Carribean na Pasifiki (ACP).

Majadiliano ya kuunda EPA yanafuatia ukosoaji dhidi ya makuabaliano ya awali kati ya Umoja wa Ulaya na mataifa ya ACP yanayoelezwa kutokidhi viwango vilivyowekwa na shirika la biashara duniani WTO. Makubaliano ya EPA kati ya Ulaya na Afrika yamekumbwa na changamoto baada ya mataifa kadhaa kukataa kuyasaini yakiataja kuwa ya kinyonyaji. Ukurasa huu unakukusanyia mada za karibuni za DW kuhusu makubaliano ya EPA.

Onesha makala zaidi