1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Yuan

Yuan, au renminbi, ndiyo sarafu ya taifa la China, la pili kwa uchumi mkubwa duniani. Shirika la fedha la kimataifa IMF, limetangaza kuijumlisha sarafu hiyo katika kapu lake la sarafu za hifadhi.

Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za DW kuhusu sarafu ya China – Yuan.

Onesha makala zaidi