1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Davos

Davos ni eneo la kitalii lenye mandhari ya kuvutia lililopo katika milima nchini Uswisi, maarufu kwa kuwakaribisha matajiri na watu watu wenye nguvu.

Davos ni mmoja ya maeneo makubwa zaidi ya mchezo wa kuteleza kwenye barafu nchini Uswisi. Mji huo mdogo kiasili huwa ndiyo mwenyeji wa mkutano kila mwa ka wa Jukwa la kimataifa la kuhusu uchumi (WEF), unaowaleta pamoja viongozi wa kisiasa na kiuchumi, tukio kubwa linalohudhuriwa na maelfu ya watu kutoka duniani kote. Huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Davos.

Onesha makala zaidi