You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zelensky na Starmer wahimiza uungwaji mkono zaidi Ukraine
Vita vya Iran vimepunguza kasi ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani ya kusitisha uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Zelensky: Musiisahau Ukraine wakati wa vita dhidi ya Iran
Zelensky amewatolea wito washirika wake kutoisahau nchi yake kutokana na vita vya sasa dhidi ya Iran.
Starmer ataka mzozo wa Ukraine usisahauliwe
Urusi iliivamia kikamilifu Ukraine mnamo Februari 2022 na juhudi za kimataifa za kurejesha amani bado zinaendelea.
Volodymyr Zelensky ziarani nchini Uingereza
Mazungumzo ya London yatajikita kuangalia juhudi za amani Ukraine zinazofanywa na Umoja wa Ulaya
Zelensky awasili London kwa mazungumzo na kiongozi wa UK
Zelensky anafanya ziara hiyo wakati Urusi ikishambulia miundombinu ya nishati, viwanda na bandari katika jimbo la Odesa.
Kenya yawazuia raia wake kujiunga na vita vya Ukraine
Kenya imewazuia raia wake kujiunga na vita vya Ukraine upande wa Urusi baada ya hofu ya ulanguzi na shinikizo la umma.
Urusi yashambulia miundo mbinu ya Ukraine
Urusi pia imeshambulia bandari kubwa ya Ukraine iliyoko kwenye eneo la mto Danube
Wakenya hawatoandikishwa kuipigania Urusi dhidi ya Ukraine
Kenya imetangaza kuwa imefanya makubaliano na Urusi ya kuwazuia raia wake wasiandikishwe kupigana vita dhidi ya Ukraine.
Wakenya hawatoandikishwa kuipigania Urusi nchini Ukraine
Taarifa zinaonyesha kuwa zaidi ya Wakenya 1,000 wameajiriwa kupigana upande wa Urusi,
Mawaziri wa nje wa EU kukutana kujadili vita vya Ukraine
Awamu ya 20 ya vikwazo dhidi ya Moscow pamoja na msaada wa kifedha wa euro bilioni 90 bado vimekwama.
Zelensky aitaka Magharibi kuendeleza vikwazo kwa Urusi
Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky amesema Moscow inaendelea kupata vifaa vya kigeni kwa siri ili kutengeneza silaha.
Watu wanne wauawa katika shambulizi la Urusi Kiev
Mamlaka ya Urusi imeripoti pia mashambulizi kwenye bandari ya Kavkaz.
Zelenskiy akosoa uamuzi wa kuilegezea Urusi vikwazo
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekosoa uamuzi wa kuilegezea Urusi vikwazo hasa mafuta.
Zelensky yuko ziarani nchini Ufaransa
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasili nchini Ufaransa leo asubuhi kwa mazungumzo na Rais Emmanuel Macron.
Urusi yaongeza mashambulizi ya droni dhidi ya reli za Ukrain
Urusi imekuwa ikilenga reli za Ukraine katika juhudi za kuvuruga uchumi wa nchi hiyo na njia zake za usambazaji.
Urusi na Ukraine zaendelea kushambuliana
Mjumbe wa Urusi aripoti 'mkutano wenye tija' na wapatanishi wa Marekani
"Tupo pamoja nanyi" Klöckner, aliambia bunge la Ukraine
Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kwanza katika taifa hilo linalokumbwa na vita.
Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yaathirishwa
Marekani sasa imependekeza kufanyika kwa awamu mpya ya mazungumzo ya amani, wakati makabiliano ya kijeshi yakiendelea.
Julia Klöckner, awasili Ukraine kwa mazungumzo na Zelensky
Klöckner, atajadili changamoto zinazohusiana na usambazaji wa nishati
Watu milioni 4.4 kutoka Ukraine wana hadhi ya ulinzi Ulaya
Ujerumani inaongoza kwa kuhifadhi idadi kubwa ya wakimbi wa Ukraine
11.03.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel yafanya mashambulizi mapya Beirut, huku ikisema Iran imefanya mashambulizi mapya ya makombora. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kukutana na viongozi wanchi za G7 leo kujadili mgogoro wa Iran. Na Kiongozi wa Madagaska, Kanali Michael Randrianirina, amfuta kazi waziri mkuu wake na kulivunja baraza la mawaziri.
Von der Leyen: Ulaya ilikosea kuachana na nishati ya nyuklia
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya amesema bara la Ulaya lilifanya makosa kuipa kisogo nishati ya nyuklia.
Urusi na Ukraine zadai kupata mafanikio makubwa vitani
Uchunguzi wa UN umefichua Urusi ilitenda uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa kuwahamisha kwa nguvu watoto kutoka Ukraine.
Trump na Putin wazungumza kuhusu vita na amani
Rais wa Urusi amesema mgogoro wa nishati unatishia uchumi wa dunia.
Mkutano kuhusu nishati ya nyuklia kuanza Ufaransa
Urusi haitashiriki mkutano wa Paris kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
09.03.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Iran yarusha makombora ya kwanza Israel kufuatia uteuzi wa kiongozi mkuu mpya Ayatollah Seyyed. Wapiganaji wa kundi la Hezbollah wanasema wanapambana na vikosi vya Israel mashariki mwa Lebanon. Na maalfu ya raia Sudan Kusini waukimbia mji wa Akobo unaoshikiliwa na upinzani mashariki mwa nchi.
Uagizaji silaha Ulaya waongezeka kutokana na vita Ukraine
Mtiririko wa silaha Ulaya uliongezeka zaidi ya mara tatu ya uagizaji.
Watu 12 wauawa nchini Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi
Rais wa Ukraine amelaani mashambulizi hayo na kutoa wito wa jibu la kimataifa dhidi ya Moscow.
Mashambulizi ya Urusi yawauwa watu saba Ukraine
Takriban watu saba wameuwawa Ukraine, baada ya Urusi kufanya mashambulizi ya droni na makombora kuamkia Jumamosi.
Je, Ukraine itasaidia nchi za Ghuba kudungua droni za Iran?
Kyiv inasema iko tayari kuzisaidia nchi za Ghuba kujilinda dhidi ya makombora. Inatarajia nini kutoka kwao?
Shambulio la Urusi Kharkiv laua watu 10
Shambulio la kombora la Urusi limepiga jengo la makazi mjini Kharkiv na kuua watu 10 wakiwemo watoto wawili.
Mgogoro Hungary na Ukraine ´wapamba moto´
Hungary imesema itawafukuza raia 7 wa Ukraine iliowakamata wakisafiri na kiwango kikubwa cha fedha.
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya yamkosoa Zelenskiy
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imemkosoa vikali Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy kwa kumtishia Waziri Mkuu Orban.
Mkataba wa Umoja wa Mataifa unaojadiliwa wakati migogoro
Mataifa makubwa yamekuwa yakishuhudiwa yakivamia mataifa mengine bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Mvutano bomba la mafuta la Druzhba wazidi makali
Hungary imesema itazuia usafirishaji wa bidhaa zote muhimu kwenda Ukraine kutokana na mvutano wa bomba la mafuta.
Ukraine yaituhumu Hungary kwa utekaji
Ukraine imeituhumu Hungary kuwateka nyara wafanyakazi wake wa benki wakiwa na dola milioni 40 na kilo tisa za dhahabu.
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa 500 wa vita
Urusi na Ukraine zitabadilishana jumla ya wafungwa 500 wa kivita Alhamis na Ijumaa.
Ukraine yasema Urusi ilishambulia meli yake ya mizigo
Meli hiyo, ilikuwa imebeba mahindi na imepata uharibifu mkubwa na baadhi ya wahudumu wake wamejeruhiwa.
Ukraine yasema Urusi imeishambulia meli ya mizigo ya kiraia
Ukraine inasema Urusi imeshambulia kwa droni meli ya mizigo ya kiraia katika bandari ya Chornomorsk kwenye Bahari Nyeus
Ukraine ndiyo iliyozamisha meli yetu Libya - Urusi
Urusi imeishutumu Ukraine kwa kuizamisha meli yake ya mafuta kwenye pwani ya Libya ikitumia droni za majini.
Urusi yasema Ukraine imeshambulia meli yake Libya
Abiria wote kwenye meli ya Urusi inayodaiwa kushambuliwa na ukraine wameokolewa.
Meli ya gesi ya Urusi yazamishwa
Mvutano katika vita kati ya Urusi na Ukraine umeendelea kuenea nje ya uwanja wa mapigano.
Trump asifu msimamo wa Ujerumani katika vita vya Iran
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington.
Merz na Trump kukutana Ikulu ya White House
Vita vinavyorindima Mashariki ya Kati vipo katika ajenda kuu ya mazungumzo ya viongozi hao wawili.
Zelensky: Mazungumzo ya Kiev na Moscow kuendelea Abu Dhabi
Ikulu ya Urusi Kremlin yasema mazungumzo ya tarehe 5 na 6 mwezi huu mjini Abu Dhabi, ni katika maslahi ya Urusi.
Zelensky atumai mazungumzo yajayo na Urusi yataendelea
Aidha, Zelensky ameunga mkono wazo la kutafuta eneo jingine la mazungumzo kufuatia wasiwasi wa kiusalama.
Ghana: Raia wetu 55 waliuawa katika vita nchini Ukraine
Hii ni idadi inayoongezeka ya nchi kadhaa za Afrika kugundua kuwa raia wake wanarubuniwa kupigana vita vya Ukraine.
Kiwingu cha vita Ukraine chazidi kutanda Afrika
Raia wa Afrika wahusishwa vita vya Ukraine, uchunguzi waanza.
Zelensky atarajia mazungumzo mapema Machi Abu Dhabi
Zelensky atarajia mkutano Abu Dhabi kumaliza vita na Urusi.
Urusi na Ukraine zashambuliana huku mazungumzo yakifanyika
Urusi yasema haina haraka kufikia makubaliano huku Ukraine ikiomba msaada zaidi wa kijeshi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 95
Ukurasa unaofuatia