You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Vita vya Marekani-Israel na Iran
Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola
Kombe la Dunia la FIFA 2026
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi na Ukraine zashambuliana vikali kwa droni, makombora
Mapigano hayo yanaonesha kuendelea kwa mvutano mkali kati ya pande hizo licha ya juhudi za kimataifa za kupunguza vita.
Nchi 50 zalaani vitisho vya Urusi dhidi ya balozi za Kiev
Nchi 50 zimelaani kile zilichosema kuwa ni vitisho vya Urusi dhidi ya taasisi za kidiplomasia na balozi nchini Ukraine.
Mataifa 50 yalaani vitisho vya Urusi kwenye balozi za Kyiv
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa droni na makombora huku juhudi za amani zikikwama.
Urusi yafuta madeni ya hadi dola 139,000 kwa wanajeshi wapya
Putin amekuwa akisisitiza umuhimu wa kuinua hadhi ya kijamii ya askari waliopigana vita hivyo.
26.05.2026: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza taarifa ya habari asubuhi hii ambapo pamoja na mengine: Utasikia hali ya mzozo huko Mashariki ya Kati, wakati Rais Donald Trump akitaka mataifa zaidi kujiunga kwenye Mkataba wa abraham: Mapigano Mashariki mwa Kongo yazidi kuibua wasiwasi na mashaka: Na Urusi yatishia kuishambulia vikali Ukraine.
Urusi yatishia kuishambulia vikali Ukraine
Urusi na Ukraine zimeimarisha mashambulizi hususan ya droni huku juhudi za amani zikiwa zimegonga mwamba.
Idadi ya majeruhi Kiev yapanda kufuatia shambulizi la Urusi
Kwa mujibu wa jeshi la anga la Ukraine, Urusi ilitumia droni zipatazo 600 na makombora 90 katika mashambulizi hayo.
Urusi yaishambulia Ukraine na kombora la Oreshnik
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amewahimiza washirika wake waichukulie hatua Urusi akisema maamuzi yanahitajika.
Macron amwonya Lukashenko kuhusu vita vya Ukraine
Macron amemuonya Lukashenko kuhusu hatari ya Belarus kuvutwa kwenye vita vya Urusi na Ukraine.
Urusi yazidisha mashambulizi Ukraine
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya makombora na droni dhidi ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv.
Zelensky: Sio haki kwa Ukraine kuwa mshirika tu wa EU
Zelensky asema hadhi ya Ukraine ya mshirika wa Umoja wa Ulaya sio haki kwasababu itaiacha bila sauti ndani ya EU.
Merz apendekeza Ukraine kuwa 'mwanachama mshirika' wa Ulaya
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amependekeza kuifanya Ukraine kuwa "mwanachama mshirika" wa Umoja wa Ulaya.
Putin atahadharisha juu ya matumizi ya silaha za nyuklia
Moscow imesema lengo la mazoezi hayo ni kuimarisha utayari wa vikosi vya nyuklia kukabiliana na vitisho vya usalama.
Merz ataka Ukraine kuwa 'mshirika' wa Umoja wa Ulaya
Ukraine inataka kujiunga na umoja huo kama hatua ya kuimarisha usalama na ustawi wake dhidi ya jirani yake Urusi.
Urusi na China zataka diplomasia ili kuvimaliza vita Ukraine
Urusi na China zimetoa wito wa kuimarishwa kwa juhudi za kidiplomasia ili kufanikisha suluhu la kudumu kwa vita Ukraine.
Wafungwa wa Ukraine wadaiwa kupitia mateso makubwa Urusi
Shirika la Habari la Ufaransa, AFP limefanya uchunguzi wa hali ya wafungwa huko na kuzungumza na baadhi yao.
Mawaziri wa fedha wa G7 wajadili hatua za kunyoosha uchumi
Walikubaliana kuhusu haja ya kufunguliwa tena Mlango-Bahari wa Hormuz na kuunga mkono Ukraine.
NATO yadungua droni ya Ukraine karibu na anga ya Estonia
Kadri Ukraine inavyozidisha mashambulizi dhidi ya Urusi, droni zaidi zinaingia katika anga ya mataifa washirika wa NATO.
Putin na Xi wakutana Beijing kujadili ushirikiano
Putin awasili China kwa mazungumzo na Xi kuhusu nishati, biashara na vita vya Ukraine.
Urusi yafanya mashambulizi makubwa nchini Ukraine
Hakuna ishara ya kufikiwa kwa makubaliano ya amani licha ya juhudi za kidiplomasia zinazoongozwa na Marekani.
Mkutano wa G7 kujadili athari za vita vya Iran na Ukraine
Mkutano huo wa siku mbili utahudhuriwa pia na wawakilishi kutoka benki kuu za mataifa ya G7.
Watu wanne waangamia kufuatia shambulizi la Ukraine, Urusi
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema imedungua droni 556 zilizorushwa nchini humo.
Kiev yapokea mamia ya miili ya wanajeshi wake waliouawa
Ukraine na Urusi zimeanza pia kubadilishana wafungwa wa vita elfu moja chini ya makubaliano yaliyoungwa mkono Trump.
Mataifa 36 yaridhia kuundwa mahakama maalumu kwa Ukraine
Umoja wa Ulaya pamoja na mataifa karibu 40 yametangaza kuunga mkono kuanzishwa kwa mahakama maalumu kwa Ukraine.
Watu 24 wauawa Ukraine baada ya Urusi kushambulia Kiev
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema watu 24 wameuawa kwenye shambulizi la kombora la Urusi.
Zelensky asema shambulizi la Urusi limewaua watu 24
Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amesema shambulizi la Urusi mjini Kyiv limewaua watu 24 ikiwemo watoto wa watatu.
IAEA: Mashambulizi yanahatarisha mitambo ya nyuklia Ukraine
Idadi ya vifo kufuatia msusuru wa mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine imeongezeka na kufikia watu zaidi ya 20.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa siku ya tatu mfululizo
Urusi imesema imetumia makombora aina ya Kinzhal, ambayo yanaweza kuruka mara 10 zaidi kuliko kasi ya sauti.
Watu sita wauawa Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi
Rais Zelensky alilaani mashambulizi hayo akisema kuwa Urusi ilishambulia kwa makombora na droni zaidi ya 800.
Urusi yarejelea "masharti magumu" ya kupata amani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alikwishasema kwamba kamwe hawatakubali kuyaachia maeneo yao.
Urusi yaanzisha tena mashambulizi yake dhidi ya Ukraine
Kamishna wa mambo ya nje wa EU Kaja Kallas amesema zipo dalili kuwa msimamo wa rais Vladimir Putin unatetereka.
Ukraine yahofia mbinu mpya za mashambulizi ya Urusi
Vita vya Urusi nchini Ukraine vilianza Februari, 2022 na juhudi za kupata suluhu zinaendelea.
Mashambulizi ya Urusi yawauwa 6 Dnipropetrovsk
Vikosi vya Urusi vimefanya mashambulizi katika eneo la Dnipropetrovsk na kuwauwa angalau watu 6.
Urusi yaanza upya mashambulizi baada ya kusitishwa mapigano
Mamlaka za Urusi zimesema Ukraine nayo imeanza tena mashambulizi ya droni za masafa marefu.
Msaidizi wa Zelenskiy atajwa kashfa ya utakatishaji fedha
Shirika la ufisadi Ukraine limegundua mpango wa mamilioni wa utakatishaji fedha unaohumuhisha Andriy Yermak.
EU yawawekea vikwazo maafisa 16 wa Urusi
Mzozo wa Urusi na Ukraine bado haujapatiwa ufumbuzi
Umoja wa Ulaya wapinga pendekezo la Rais Vladimir Putin
Ukraine na Urusi zaendelea kushambuliana licha ya pande hizo mbili kukubliana kusitisha mapigano.
Brussels yamkataa Schröder kuwa mpatanishi mzozo wa Ukraine
Kansela wa zamani wa Ujerumani Schröder kutoka chama cha SPD amekuwa na mafungamano ya karibu ya kibiashara na Urusi
Chama cha SPD chataka Schröder awe mpatanishi Ukraine
Wataalam wa sera za kigeni Ujerumani kutoka SPD wanataka Gerhard Schröder azingatiwe kuwa mpatanishi Ukraine.
Putin: Mzozo nchini Ukraine wakaribia kumalizika
Putin amewatia moyo askari wake wanaopigana vita nchini Ukraine akisema wanapambana na vikosi vinavyosaidiwa na NATO.
Urusi yailaumu Ukraine juu ya makubaliano ya kusitisha vita
Wizara ya ulinzi ya Urusi imeripoti mashambulizi 12 ya Ukraine.
Urusi yadungua droni zilizolenga Moscow
Urusi yasema imedungua droni wakati usitishaji vita wa muda mfupi uliotangazwa na Urusi ukianza kutekelezwa.
Urusi/Ukraine zashutumiana kukiuka makubaliano ya vita
Urusi yasema licha ya tangazo lake la usitishwaji vita, bado Ukraine imeendelea kuishambulia
Wakenya 19 wauawa wakipigana vita vya Ukraine
Kenya yasema mamia ya raia wake wamejiunga na jeshi la Urusi huku wengine wakitoweka vitani.
Urusi yasema imezidungua karibu droni 350 za Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliwaonya washirika wa Urusi kutohudhuria gwaride hilo.
Urusi yawaonya wanadiplomasia kuondoka mjini Kyiv, Ukraine
Pande zote mbili zimeongeza mashambulizi katika wiki za hivi karibuni katika vita hivyo vya zaidi ya miaka minne.
Zelensky: Urusi inakiuka ombi la usitishwaji wa vita
Zelenskiy asema Urusi imekiuka ombi la kusitisha vita zaidi ya mara 1,800, kinyume na makubaliano ya Kyiv.
Ukraine yaishtumu Urusi kwa kukiuka usitishaji vita
Ukraine na Urusi zimetangaza kusitisha mapigano hatua inayohusishwa na sherehe za Siku ya Ushindi ya Moscow.
06.05.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump asimamisha operesheni ya kijeshi ya kusindikiza meli kupitia Mlango Bahari wa Hormuz. Wapiganaji wa Boko Haram wawaua wanajeshi 23 katika shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika eneo la Ziwa Chad. Na kocha wa Arsenal Mikel Arteta awapongeza wachezaji wake kwa kuandika historia kwa kuingia fainali ya kombe la mabingwa Ulaya, Champions
Mashambulizi ya Urusi yaua watu 21 nchini Ukraine
Mashambulizi ya Urusi yamewua watu 12 katika mji wa Zaporizhzhia
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 99
Ukurasa unaofuatia