TEHRAN: Umaarufu wa Ahmadinejad waanza kupungua | Habari za Ulimwengu | DW | 19.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

TEHRAN: Umaarufu wa Ahmadinejad waanza kupungua

Wizara ya mambo ya ndani ya Iran imethibitisha ushindi mkubwa wa rais wa zamani wa nchi hiyo Hashemi Rafsanjani katika uchaguzi wa baraza la wataalamu. Kwa mujibu wa matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa Ijumaa iliyopita, Rafsanjani alipata kura nyingi zaidi akilinganishwa na mgombea wa upande wa rais Mahmoud Ahmadinejad.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com