1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUjerumani

Taarifa ya Habari za Asubuhi: 19.10.2022

19 Oktoba 2022

Korea Kaskazini yarusha mamia ya makombora karibu na mpaka na jirani yake Korea Kusini. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy asema Urusi imefilisika kijeshi. Shirika la Human Rights watch lasema Jeshi la Kongo lilishirikiana na kundi la waasi wa kihutu la FDLR.

https://p.dw.com/p/4INEA