1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Korea Kaskazini

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) ni nchi ilioko Asia Mashariki, katika upande wa kaskazini wa rasi ya Korea. Kimataifa inachukuliwa kuwa taifa la kidikteta.

Baada ya kusalimu kwa Japan wakati wa vita kuu vya Pili vya Dunia mwaka 1945, Korea iligawanywa katika zoni mbili kati ya Marekani na Jamhuri ya Kisovieti. Mazungumzo ya kuziunganisha Korea mbili yalishindikana na mwaka 1948 ziliundwa serikali mbili tofauti. DPRK inajieleza kuwa ni taifa la kisoshalisti linalojitegemea. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za karibuni zaidi kuhusu Korea Kaskazini.

Onesha makala zaidi