Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

CIA

Shirika la ujasusi CIA ni idara ya upelelezi wa nje ya serikali ya Marekani. Inajikita katika ujasusi wa nje, ikikusanya na kuchambua taarifa za kiusalama.

Tangu ilipoundwa mwaka 1947, CIA imezidi kutanua majukumu yake na kuhusisha sasa hivi operesheni za siri za kijeshi. Katika ukurasa huu utakuta mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu CIA.

Onesha makala zaidi