1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

NRA - Chama cha wamiliki wa bunduki cha Marekani

Chama cha Taifa cha wamiliki wa silaha Marekani ni shirika lisilo la kibiashara linalopigania haki ya kumiliki silaha aina ya bunduki.

Shirika hilo lililoundwa mwaka 1871, limekuwa likiwafahamisha wanachama wake ambao wameelezwa kuwa milioni tano, kuhusu sheria zinazohusiana na silaha tangu 1934, na limefanya ushawishi kwa ajili ya, na dhidi ya miswada ya sheria tangu 1975. NRA pia ndiyo shirika la haki za kiraia linaloendesha shughuli zake kwa muda mrefu zaidi.

Onesha makala zaidi