1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Korea Kusini

Korea Kusini ni nchi ya Asia Mashariki, ilioko katika upande wa kusini wa rasi ya Korea na inashiriki mmoja ya mipaka yenye ulinzi mkali zaidi wa kijeshi duniani na Korea Kaskazini.

Inajulikana pia kwa mashamba yake ya kijani na milima pamoja na mahekalu ya karne kadhaa ya madhebu ya Kibudha, pamoja na vijiji vya uvuvi katika pwani yake, visiwa vya tropiki na miji ya kisasa kama vile mji mkuu Seoul.

Onesha makala zaidi