1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Moon Jae-in

Moon Jae-in ni mwanasia wa Korea Kusini na rais wa sasa wataifa hilo. Alichaguliwa mwaka 2017 baada ya kuvuliwa madaraka Park Geun-hye.

Moon Jae-in, mwanaharakati wa zamani wa wanafunzi, wakili wa haki za binadamu na katibu mkuu wa rais Roh Moo-hyun wakati huo, aliwahi pia kuhudumu kama kiongozi wa chama cha Minjoo cha Korea (2015 - 2016), na mjumbe wa bunge la 19 la taifa (2012 - 2016). Alikuwa pia mgombea wa chama cha Democratic United Party katika uchaguzi wa 2012, ambapo alishindwa kwa kura chache na Park Geun-hye.

Onesha makala zaidi