1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mike Pence

Michael Richard "Mike" Pence ni mwanasiasa wa Marekani, mwanasheria na makamu wa 48 wa Rais wa Marekani. Aliwahi pia kuhudumu kama gavana wa 50 wa jimbo la Indiana kuanzia 2013 hadi 2017

Pence alizaliwa na kukulia mjini Columbus, katika jimbo la Indiana ambalo alichaguliwa na kuwa gavana wake Januari 2013. Novemba 8, 2016 Pence alichaguliwa kuwa makamu wa rais baada ya kuachana na kampeni yake ya kuchaguliwa tena ugavana wa Indiana ili kuwa mgombea mwenza wa Donald Trump ambaye aliwania na kushinda nafasi hiyo.Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui karibuni za DW kuhusu Mike Pence.

Onesha makala zaidi