1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Marine Le Pen

Ni kiongozi wa chama cha siasa za kizalendo za mrengo mkali wa kulia cha National Front (FN) nchini Ufaransa. Alizaliwa Agosti 5, 1968 na ni binti wa mwasisi wa chama hicho Jean-Marie Le Pen.

Mwanasheria kitaaluma, Marine Le Pen alijiunga na chama cha National Front mwaka 1986. Alimrithi baba yake katika nafasi ya uongozi wa chama hicho mwaka 2010, baada ya kuchaguliwa kwa zaidi ya asilimia 65 za kura za wanachama. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za DW kumhusu mwanasiasa huyo machachari.

Onesha makala zaidi