1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Rwanda

Rwanda ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika iliyozungukwa na nchi kavu, ambayo mandhari yake ya milima ya kijani yaliipatia jina la utani la "nchi ya vilima alfu moja". Inapakana na Uganda, DRC, Burundi na Tanzania.

Nchi hii ndogo bado inajaribu kupata tena ashekali kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyopelekea mauaji ya kimbari yalioydhaminiwa na serikali katikati mwa miaka ya 1990. Katika mauaji hayo ya kimbari, Watusti na Wahutu wenye msimamo wa wastani wapatao 800,000 waliuawa na vikosi vya kihutu tiifu kwa serikali iliyokuwa madarakani katika muda wa siku 100 tu. Hii leo Rwanda inapambana kujenga upa uchumi wake ambapo kahawa na chai ni miongoni mwa mazao makuu yanayoipatia fedha za kigeni. Benki ya Dunia ilisifu maendeleo ya nchi hiyo, ambayo inasema yamesaidia kupunguza umasikini na ukosefu wa usawa miongoni mwa jamii.

Onesha makala zaidi