1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Joe Biden

Joseph Robinette Biden Jr. ni mwanasiasa wa Kimarekani aliehudumu kama makamu wa 47 wa rais wa Marekani kuanzia 2009 hadi 2017. Biden pia aliwakilisha jimbo la Delaware katika bunge la Seneti kuanzia 1973 hadi 2009.

Biden, ambaye ni mwanachama wa chama cha Democratic, ni mgombea pia wa nafasi ya rais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Joe Biden.

Onesha makala zaidi