1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kim Jong Un

Kim Jong Un ni mwanasiasa wa Korea Kaskazini anaehudumu kama Kiongozi Mkuu wa taifa hilo tangu 2011, na kiongozi wa chama cha Wafanyakazi tangu 2012.

Kim Jon Un ndiye mtoto wa pili wa Kim Jon il (1941-2011) na Ko Yong-hui, na kiongozi wa kwanza wa Korea Kaskazini aliezaliwa baada ya kuasisiwa kwa taifa hilo. Kabla ya kuingia madarakani, Kim hakuwa anaonekana sana hadharani, na shughuli zake nyingi na za serikali yake hazijulikani. Hata taarifa kama vile mwaka aliozaliwa na iwapo kweli alihudhuria shule ya Magharibi kwa jina la bandia ni vigumu kuthibitisha.

Onesha makala zaidi