1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

NAFTA

Mwaka 1994, makubaliano ya biashara ya mataifa ya Amerika Kaskazini (NAFTA) yalianza kutekelezwa, na kuunda mmoja ya kanda kubwa zaidi za biashara huru duniani, kati ya Marekani, Canada na Mexico.

Tangu wakati huo, NAFTA imeonyesha namna biashara huru inavyoweza kuongeza utajiri na ushindani, ikitoa manufaa ya kweli kwa familia, wakulima, wafanyakazi, wazalishaji na hata walaji. Lakini makubaliano hayo yamekumbwa na mtikisiko baada ya rais wa Marekani Donald Trump kusaini Amri ya kusitisha utekelezaji wake, akiyalaumu kwa madhila wanayokumbana nayo Wamarekani kiuchumi. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu makubaliano ya NAFTA.

Onesha makala zaidi