1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

FIFA Qatar 2022

Kombe la Dunia la FIFA huandaliwa kila baada ya miaka minne. Michuano ya mwaka 2022 inaendelea kwa sasa nchini Qatar na imegubikwa na utata kuhusu rekodi za haki za binadamu ya taifa hilo.