1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 08.07.2020

Grace Kabogo
8 Julai 2020

Benki ya Maendeleo ya Afrika imesema takriban Waafrika milioni 50 wanaweza kutumbukia katika umasikini uliokithiri kutokana na kuporomoka kwa uchumi kulikosababishwa na janga la COVID-19//Marekani imeuarifu rasmi Umoja wa Mataifa uamuzi wake wa kujiondoa kwenye Shirika la Afya Duniani ifikapo mwaka 2021//China imefungua ofisi mpya ya usalama kwenye mji wa Hong Kong

https://p.dw.com/p/3ewEK