1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vladmir Putin

Vladimir Vladimirovich Putin amechaguliwa tena Machi 18, 2018 kwa muhula mwingine wa miaka sita kama rais wa Urusi. Aliongoza orodha ya jarida la Forbs kama mtu mwenye nguvu zaidi duniani.

Putin aliwahi kuhudumu kama rais kuanzia 2000 - 2008. Alikuwa waziri mkuu wa Urusi kuanzia 1999 - 2000, na tena kuanzia 2009 hadi 2012. Kwa miaka 16 Putin alihudumu kama ofisa katika idara ya ujasusi ya Urusi KGB, na kupanda cheo hadi ngazi ya Luteni Kanali. Kuanzia 1985 hadi 1990, KGB ilimuweka Putin mjini Dresden, Ujerumani Mashariki, na baadae alirejea Urusi na kujiunga na siasa katika mji wake wa nyumbani wa St. Petersberg mwaka 1991.

Onesha makala zaidi