1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Shirika la Afya Duniani

WHO ni shirika makhsusi la Umoja wa Mataifa linalohusika na afya ya umma wa kimataifa. Lilianzishwa Aprili 7, 1948 na lina makao yake makuu mjini geneva, Uswisi.

WHO ni mwanachama wa kundi la mashirika ya maendeleo ya Umoja wa Mataifa. Mtangulizi wake -- Shirika la Afya -- lilikuwa shirika la Ligi ya Mataifa. WHO inahusika na ripoti ya afya ya dunia, utafiti wa dunia wa afya, na siku ya afya duniani. Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo ni Tedros Adhanom, alieanza muhula wake wa miaka mitano Julai 1, 2017.

Onesha makala zaidi