1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Urusi

Urusi ndiyo nchi kubwa zaidi duniani kijiografia, inapakana na mataifa ya Ulaya na Asia, na pia bahari za Pacific na Arctic.

Kuanzia Kaskazini-Magharibi hadi Kusini-Mashariki, Urusi inshiriki mipaka na mataifa ya Norway, Finland, Estonia, Latvia, Lithuania na Poland, Belarus, Ukraine, Georgia, Azerbaijan, Kazakhstan, China, Mongolia, na Korea Kaskazini. Inashiriki mipaka ya baharini na Japan na Bahari ya Okhotsk, na pia na jimbo la Marekani la Alaska kupitia mlango wa bahari wa Bering.

Onesha makala zaidi