1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

AFCON

Kombe la mataifa ya Afrika, linalojulikana rasmi kama CAN, pia linafahamika kama AFCON, ndiyo tukio kuu la mashindano ya kandanda ya shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF.

Mashindano hayo yalianza kufanyika kw amara ya kwanza mwaka 1957. Tangu mwaka 1968, yamekuwa yakifanyika kila baada ya miaka miwili. Kuanzia mwaka 2013, mashindano hayo yalianza kufanyika katika miaka ya witiri ili yasipishane na mashindano ya kombe la dunia.

Onesha makala zaidi