1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Abkhazia

Abkhazia ni mkoa ulioko katika eneo la Caucasus katika pwani ya mashariki ya bahari Nyeusi, kusini mwa Urusi. Hadhi inazozaniwa na imesababisha mgogoro wa kivita.

Abkhazia inatambuliwa kama taifa na baadhi ya nchi, ikiwemo Urusi, lakini Umoja wa Mataifa na serikali nyingi za mataifa zinaichukulia kuwa sehemu ya Georgia, ambayo katiba yake inaitambua kama "Jamhuri yenye utawala wa ndani ya Abkhazia," inayokaliwa kimabavu kwa sasa na Urusi. Katika ukurasa huu utakuta maudhui za DW kuhusu Abkhazia.

Onesha makala zaidi