Serbia yawafungulia mashitaka viongozi wa Kosovo | Habari za Ulimwengu | DW | 18.02.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Habari za Ulimwengu

Serbia yawafungulia mashitaka viongozi wa Kosovo

Wizara ya mambo ya ndani ya Serbia imewasilisha mashitaka ya uhalifu dhidi ya viongozi wa Kosovo kwa kutangaza uhuru wa nchi ambayo haipo katika ardhi ya Serbia. Miongoni mwa walioshtakiwa ni rais wa Kosovo Fatmir Sejdiu na waziri mkuu Hashim Thaci. Serikali ya Belgrade inasema itazuia juhudi za Umoja wa Mataifa na muungano wa usalama na ushirikiano barani Ulaya kuitambua Kosovo.
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com