RIYADH: Wanachama wa OPEC wakutana Saudi Arabia | Habari za Ulimwengu | DW | 16.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

RIYADH: Wanachama wa OPEC wakutana Saudi Arabia

Mkutano wa kilele wa OPEC-shirika la nchi zinazozalisha mafuta ya petroli,utafanywa mjini Riyadh,Saudi Arabia kuanzia Novemba 17 hadi 18. Mawaziri wa mafuta wamesema,mkutano huo wa kilele hautopitisha uamuzi juu ya sera ya muda mfupi, kuhusika na uzalishaji wa mafuta.Mada hiyo, itajadiliwa kwenye mkutano utakaofanywa Desemba 5 mjini Abu Dhabi,Umoja wa Falme za Kiarabu.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com