Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Saudi Arabia

Saudi Arabia ni nchi ya jangwa inayojumuisha sehemu kubwa ya rasi ya Arabuni, pamoja na pwani za Bahari ya Sham na Ghuba ya Uajemi.

Ikifahamika kuwa ndiyo mahala ulipozaliwa Uislamu, Saudi Arabia ndiko inakopatikana misikiti miwili mitakatifu zaidi: Masjid al-Haram, mjini Makka, ambao ndiyo kituo cha Ibada ya kila mwaka ya Hajj, na Masjid an-Nabawi – au Msikiti wa Mtume, katika mji wa Madina, alikozikwa Mtume Muhammad (S.A.W). Mji mkuu wa Riyadh, umepambwa kwa majengo marefu. Katika ukurasa huu, utapata maudhui zote za DW kuhusu Saudi Arabia.

Onesha makala zaidi